Natural medicine/spiritual/Healer/
JIFUNZE MAMBO 13 MUHIMU UTAKAYOZINGATIA ILI KUONA MAFANIKO
《1》jione wewe kwanza kabla hujataka wengine wakuone.
《2》kila kitu kwenye maisha yako ni jukumu lako yaani maamuzi yako sio hata ya wazazi wako.
《3》dunia ipo kwenye akili yako yaani vile unavyoichukulia ndiyo itakavyokuitikia na kujidhihirisha kwenye maisha yako
《4》maisha yanatakiwa kukutumikia sio wewe kuyatumikia
《5》pesa ipo zaidi kwenye mawazo na akili yako na sio kimwili yaani utakavyoiona ndiyo itakavyokuwa
《6》siku utakayoamua kuanza kutumia akili utagundua hisia zipo ila hazitakusaidia hata kidogo kwenye ukuaji wako.
《7》utajiri sio kitu ila ni tabia
《8》kuwa na malengo kutakupa kasi zaidi ya kufanikiwa kuliko kutokua na malengo.
《9》jisamehe na samehe ila weka mipaka
《10》wanaokuzunguka wanitafsiri kesho yako leo kabla hujafungua mdomo kuiongea wewe mwenyewe.
《11》muda ni mali sana
《12》mwenza wako ni reflection yako wewe.
《13》kataa kuwa mtumwa wa umasikini
KUMILIKI PESA KUPITIA NGUVU YA KIROHO
Karibu kwenye ulimwengu wa siri, nguvu, na maarifa yaliyofichika. Katika Nguvu ya kiroho, young money anafichua nguvu ya ajabu iliyojificha katika usawa wa kiakili, kiroho na kimaisha. Hii si hadithi ya kawaida - ni mwongozo wa kuamsha uwezo wa ndani ambao mara nyingi huachwa usingizini.
UTAJIFUNZA:
Maana halisi ya "Nguvu ya kiroho" katika maisha ya binadamu
Jinsi ya kutumia akili, roho, na mwili kama silaha ya mafanikio
Mbinu za kufungua fahamu ya juu (higher consciousness)
Siri za nguvu ya maamuzi, imani, na msimamo
Ushauri wa kiroho unaochanganyika na maarifa ya asili
SIRI YA MAFANIKIO
Siri nyingine ya kufanikiwa nikupita njia ambazo wengine ni ngumu kupita usipende mambo marahisi rahisi kwenye ugumu ndipo mafanikio yalipo.
THUBUTU ILI UFANIKIWE
Usiogope kujaribu ,usiogope kuanza Upya usikate tamaa kwenye Jambo muhimu kwenye maisha yako ,Kumbuka Ushindi hupatikana baada ya Mateso Makubwa na Mihangaiko mingi.
SPIRITUAL OIL / DAWA ZA KIROHO
DAWA HIZI NI KWA AJIRI YA KUMSAIDIA MTU YEYOTE KUPATA MAFANIKIO
MONEY MAGNET
KAZI YA MONEY MAGNET NI-;
*kupata pesa pasipo kutarajia
*kupata michakato inayohusu pesa mala kwa mala kupitia kipaji au ujuzi wako
*kwa wachimba madini hufanya wepesi wa kupata madini na kuepusha misukosuko yote
*kufungua njia zako za utafutaji zilizofungwa
*kukufanya uonekane mpya na mwenye matumaini mapya ya kitajiri
*kukufanya uondokane kitete cha pesa ,yaani kushika pesa nyingi na kuona ni jambo la kawaida
*kutafutwa na watu ambao walikuona hauna lolote
*kufanya mtu kukuamini kirahisi
* Kuongeza nuru katika shughuli yeyote
* kuleta mafanikio haraka
*kuongeza kismati / bahati/mvuto
* kondosha nuksi aina zote mwilini
* Kung'arisha nyota
*kufanya nyota yako iwake kama taa
* kuongeza mvuto kazini
* kupandisha cheo kazini
BUSINESS / SUCCESS
KAZI YA BUSINESS / SUCCESS NI -;
* Kulinda kipato chako pamoja na mali
*Kuzuia chuma ulete
*Hulinda mali zisipotee
*kuwezesha nguvu katika biashara ,mteja akifika lazima afanye manunuzi hata kama hakuwa tayari
*kuongeza ushawishi mkubwa katika biashara
*Huleta neema na ridhiki
* Hufungua vifungo vyote vya kimwili
* Huleta ufanisi katika shughuli za kazi
*huongeza nuru na mwangaza wa maisha
* kukupa nguvu ya ziada
*hufanya biashara yako kuonekana ya thamani zaidi
LOAD OPENER
KAZI YA LOAD OPENER NI -;
* Kuaondoa kiza mwilini
* kuondoa chuma ulete mwilini
*Tatizo la Ukiuza uoni pesa, kulinda kipato chako
* Kuvuta mali, Kusafisha nyota
*Huleta neema ya riziki na mvuto
*Kufungua vifungo vyote vya kimwili
* Kuongeza baraka, nuru na mwangaza
* hukupa nguvu ukiwa kazini ama unapotafuta kitu hata ukiwa kwenye mgodi,Machimbo,Hata katika uvuvi.
*kufanya kuwa na sauti ya kifalme, ujasili na Ukakamavu
*Hutibu maradhi ya wasiwasi, kuogopa ogopa mala kwa mala
*kuondosha vifurushi vya makaburini, kisimani kwenye, Mibuyuni. kwenye milima,
JOB FOUNDER
KAZI YA JOB FOUNDER NI -;
* Kwa mtu anetafuta kazi ama kuongea na Anapoitaji kitu ili akubalike kuzima midomo Ya shari kazini
*Kuzuia biashara kufa
*kufanya biashara au chochote unachokianzisha kuendendelea mbele na sio kusimama wala kurudi nyuma.
* nguvu kubwa
*kuosha mwili na kufungua Njia za mafanikio
*Vifungo vya nuksi kali mwilini
*Kusafisha nyota ya ridhiki,
*kufanya Ukubalike popote unapodai haki
*inaondoa nuksi zote
ALL PURPOSE
KAZI YA ALL PURPOSE NI -;
*Kufungua vifungo vyote vya kimwili na nuksi.
*Kuzuia uchawi wa aina yeyote na kufuta kabisa.
*huongeza mvuto.
*Kuweka mahusiano mazuri ya mapenzi au mke/mme.
*Kukupata nguvu ya ziada na kufanya usikilizwe .
*kukupa mamlaka ya kukubalika popote.
*kusaidia kushinda kesi na kukufanya uonekane mwenye haki.
*Husaidia kupata mke/mme au mpenzi wa ndoto yako yaani yeyote unaemtaka.
*kukupa nguvu kubwa ya kufanya. lisilowezekana liwezekane kwa haraka.
*kuondoa vikwazo vyote katika maisha .
*kuondoa tatizo la kutodumu katika mahusiano .
*kukufanya uonekane wa thamani kwa mtu yeyote.
"TUMIA SPIRITUAL OILS HIZI KUONDOKANA NA UMASIKINI;
Unapotumia moja kati ya dawa hizi ni lazima uweze kuona mabadiliko makubwa kwa mda mfupi sana na kuleta matokeo ya haraka zaidi na kukufanya ujione wa tofauti na awali kwa sababu ni dawa zenye nguvu ya maajabu sana ,amini na tumia sasa ili kutokomeza janga la umaskini;